Wanufaika huwa na tabia ya kulindana utashangaa uchaguzi anapita kiulaini, hawa kuwatoa lazima utumie nyundo na tindo kama wanaweza kutafuna hadi hela za mdhamini huku mshindi hapewi hata zawadi yake hao siyo watu wa kawaida , huwezi kuwatoa kirahisi wanakuwa na genge lao la kula helaHili suala lazima litamchomoa tu karia kwenye uchaguzi wa August