Kumbuka yanga walitaka watu waachie nafasi zaoJana Simba walitoa Barua yao, tuone sasa kama wana Akili ngumu na Rais ameweka watu mfukoni leo!
Ila Yanga naona kafanikiwa kuhairishwa kwa mechi, basi Simba ni mikwara tu!

Mekubalije kwani vikiongozi wa bodi ya ligi wameshajiuzuluKuna timu ilikuwa inaigiza inaitaka mechi sasa baada ya Yanga kukubali kucheza naona hofu imetanda🤣🤣
Tubutu,Sisi ndio Yanga bwana, na bado hatuchezi hadi matakwa yetu yatimizwe.
Hivi hekima inauzwa wapi na Kwa bei gani na kwanini watu wasio na hekima hupewa dhamanaHii ya tarehe 25.06.2025 ni maamuzi ya ikulu siyo maamuzi ya Tff wala bodi ya ligi wa nani ni ikulu tu.....maana Leo viongozi wa Simba na yanga waliiitwa chamwino DODOMA..
Hapo bwana Wallece Karia na bodi Yako fake ya ligi mjitafakari...
Japo ni kzi ngumu Kwa ngozi nyeusi kujitafakari ila Sasa hivi bwana Wallece Karia jaribu kutumia hekima aisee
Huyo shabiki atakuwa hana akili timamu.
Tayari huko! Yanga sio mchezo!Mekubalije kwani vikiongozi wa bodi ya ligi wameshajiuzulu
Usifanye hivyo bestSisi ndio Yanga bwana, na bado hatuchezi hadi matakwa yetu yatimizwe.
Nasubiri kauli Rasmi ya Klabu yangu ya Simba ikiwa na ufafanuzi wa barua ya jana kwamba mechi ikiahirishwa tarehe 15 Simba HATUCHEZI. Baada ya hapo nitatoa maoni yangu kama Katibu wa Tawi la Simba mmojawapo hapa Jijini Mwanza.Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
Dabi ya Kariakoo ya June 15 imesogezwa mbele Kwa mara nyingine tena
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeusogeza mbele mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC kati ya klabu ya Yanga na klabu ya Simba ambao ulipangwa kufanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Juni 15, 2025 kuanzia saa 11:00 jioni.
Mchezo huo sasa utafanyika Juni 25, 2025 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00 jioni.
Bodi inazitakia maandalizi mema klabu za Yanga na Simba kuelekea mchezo huo.
View attachment 3367072
No reforms no electionTayari huko! Yanga sio mchezo! View attachment 3367245
Yanga siyo wajinga, tayari huko Mguto na CEO wake chaliiiNa nyinyi tunataka mbaki na msimamo uleule mliposema mpaka viongozi wa bodi wajiuzulu ndio mpeleke timu kucheza
Deni la mama trln 107 na kesi ya Lisu jumlisha no reforms no electionMnatuchanganya tusahau mambo ya deni sio.
Demanda umeanza kuona zinajibu sasaWazee wa sheria na kanuni nataka leo sasa tujadili vizuri sheria.
Leo mechi imehairishwa nataka uniambie ni kanuni gani imetumika?
Halafu vipi kuhusu zile demands zenu za Bodi ya ligi ijiuzulu ili muwe tayari kucheza Derby zimeishia wapi?
Bado hujaona matakwa yameanza kujibu huko
Ona aibu basi... Lilikuwa swala muda tu hao tff na bodi ya ligi kuachia ngazi!!. Mnaleta ushabili kwenye mambo ya msingi!. Kila dai la yanga litatelelezwa pasina shaka!. Hii mechi ya trh 15 haijahairishwa coz nayo ilikuwa batili ndio maana yanga akaigomea.Wazee wa sheria na kanuni nataka leo sasa tujadili vizuri sheria.
Leo mechi imehairishwa nataka uniambie ni kanuni gani imetumika?
Halafu vipi kuhusu zile demands zenu za Bodi ya ligi ijiuzulu ili muwe tayari kucheza Derby zimeishia wapi?
Mapendekezo ya Yanga tayari ya meshafanyiwa kazi watu wameshaliwa vichwa huko. Tukutane tarehe 25Kwa hiyo Yanga mmekaza mmetepeta sasa si ndio?