Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

Ona aibu basi... Lilikuwa swala muda tu hao tff na bodi ya ligi kuachia ngazi!!. Mnaleta ushabili kwenye mambo ya msingi!. Kila dai la yanga litatelelezwa pasina shaka!. Hii mechi ya trh 15 haijahairishwa coz nayo ilikuwa batili ndio maana yanga akaigomea.
Karia must go kasepa?

By the way hilo ni shinikizo limetolewa na raisi.

Kwa raisi kila kitu kinawezekana.
 
Karia must go kasepa?

By the way hilo ni shinikizo limetolewa na raisi.

Kwa raisi kila kitu kinawezekana.
😂😂 Iwe shinikizo limetoka kwa Gwajima au kisugu kilichokuwa kinadaiwa na yanga kimetimia... Huo ni ushindi tosha kuonesha kuwa ...mtu/watu binafs hawawezi kuhozi mamlka na kunyonga tasisi kubwa zilizowapa dhamana!. Karia mwezi wa 8-9 anamaliza muda wake.
 
😂😂 Iwe shinikizo limetoka kwa Gwajima au kisugu kilichokuwa kinadaiwa na yanga kimetimia... Huo ni ushindi tosha kuonesha kuwa ...mtu/watu binafs hawawezi kuhozi mamlka na kunyonga tasisi kubwa zilizowapa dhamana!. Karia mwezi wa 8-9 anamaliza muda wake.
Raisi naskia ni shabiki wa Gongowazi

Inawezekana ndio aliyepiga simu

Kwa hiyo hatuna say. Mmeshinda
 
Raisi naskia ni shabiki wa Gongowazi

Inawezekana ndio aliyepiga simu

Kwa hiyo hatuna say. Mmeshinda
Poleni kwa maumivu... Haki imepatikana... Hakuna haki inapotea bali inacheleweshwa!!. Hizi zingine ni porojo zenu... Ni tahira tu ndio alikuwa anasapoti upuuzi wa trh 8. KAMA VIPI MSILETE TIMU 😂😂😃
 
Subiri taarifa nyeti bado zinakuja usiwe na haraka. Hili jambo linaondoka na watu.
Wale mbumbumbu wa kukaza shingo tunapowaambia msuburi msiwe na haraka muwe mnaelewa. Mmeziona taarifa nyeti nilizowaambia msubiri zinakuja?

Mna swali lingine la matakwa kutimizwa?
 
Raisi naskia ni shabiki wa Gongowazi

Inawezekana ndio aliyepiga simu

Kwa hiyo hatuna say. Mmeshinda
Mnasingizia tu mama wa watu. Mbona amefanya kile mlichotaka.

Nyinyi na wachambuzi wenu mlisema mama atalimaliza kama kwa Fei Kuwaita wahusika wote ikulu kumaliza kesi na Yanga hawatakuwa na ubavu wa kugomea mamlaka. Amelimaliza hamtaki tena.
 
Shida si mchezo kusogezwa mbele. Yanga walikuwa wanataka bodi ya ligi ijiuzulu lakini inavyoonekana wametepeta na wala malalamiko yao yametupiliwa mbali.

Ameenda mmiliki wa 🐸🐸 mwenyewe, hersi kachochora.
Unasemaje?
 
Hivi kibali cha kufanya mazoezi si walishapewa eeh? 😅😅
Wote waliohusika na mipango ovu watafikiwa. Ni swala la muda tu hao walioandika kibali toka wizarani kushughulikiwa pia. Huyo katibu mkuu kaiingiza serikali kwenye shida na waraka wake wa amani
 
Ninachoweza kusema Simba ana uwezo wa kuhamisha hii furaha tuliyo nayo tarehe 25 au hata kabla ya hiyo mechi. Mechi ya Prison Mbeya si rahisi. Tufurahi na yanayoendelea ila timu iandaliwe kwa mechi zilizobaki. Hiyo ratiba si rahisi kwa Yanga inaweza kosa vyote. Tarehe 25 derby halafu 28 fainali. Mechi zote nne zilizobaki ni do or die kwa Yanga na zile 3 kwa Simba. Advantage kwa Simba ni hawana fainali hata wakivunjika wataendelea kujiuguza wakiwa na ubingwa.

Yanga inahitaji kuweka nguvu kwenye ligi na ku-sacrifice fainali liwalo na liwe. Timu iangalie wapi kuna pesa zaidi na heshima. Vinginevyo tunakosa vyote
 
Back
Top Bottom