Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,617
Mikia mnayatoa wapi haya mnayoandika? Madeni yanahusianaje na mechi ya ligi kuu? Mechi iliyosogezwa ni ya NBC sio CRDB. Kweli nyinyi makoloNasubiri kuona Kama utopolo wataleta tena propaganda za madeni 😹
Pelekeni timu ikafanye mazoezi kesho ya timu ngeni