Mechi ya Simba na Yanga yasogezwa mbele. Kuchezwa 25 June, 2025

Kwisha hili lilishajulikana muda tu 😁😁
Ni muda sasa wa FIFA kuifungia Tanzania katika michezo.

Rasmi wanasiasa/serikali imeingilia masuala ya mpira kwa faida za kisiasa.

Kama kweli FIFA ina muwakilishi hapa nchini ngoja tuone.
 
Vipi kwa mlio karibu wameshaanza mazoezi au wanasubiri saa mbili usiku waingie na vile vubabu vifupi pamoja na mbuzi
 
Khakhakhaaa!! Mpaka kielewekeeeπŸ’šπŸ’šπŸ–€πŸ’›πŸ’›πŸ’›!


Yanga BingwaaπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Cc Smart911
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…