Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wivu nikisema wa kike (inafaa)Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Ila ndilo lililofanya mkavaa shanga shingoni na mkashangilia kufungwa.Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Huyu mama anakusalimiaWacheze popote na kombe lao la kina mama
Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Mbona kavaa shanga shingoni huyo 😃Huyu mama anakusalimiaView attachment 3303250
InafaaaaaWivu nikisema wa kike (inafaa)
Utafikiri we ndo unachezaBasi Simba kaishatolewa
Haujifichi!Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Za chini ya kapeti zinadai ubovu wa uwanja wa mkapa ni ajenda maalumu ili zanzibar wapewe mechi za kimataifa zaidi na kukuza utalii wa zenji kwa kuitangazaMechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
View attachment 3303192
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
View attachment 3303185
Simba out Zanzibar sio rafiki kwa Simba fcUtafikiri we ndo unacheza
Kufahamika sio tatizo, uwezo ndio tatizo kama uamini muulize zamalekHiyo timu ni mchekea tu, ni ya kupigwa nyumbani na ugenini. Ni timu ndogo hiyo wala haifahamiki sana afrika
Kamuulize ZamelekHiyo timu ni mchekea tu, ni ya kupigwa nyumbani na ugenini. Ni timu ndogo hiyo wala haifahamiki sana afrika