Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

TFF watawapeleka kwa mkapa, maana Simba sasahivi anadeka kama KE kwa TFF! Mechi za Ligi na Crdb cup anajichagulia mda wa kuzicheza na Me wao TFF ana mute🤣🙌🙌🙌
Wanaoamua sio TFF ni CAF, wameona kilichotokea robo fainali vs Al masry
 
Back
Top Bottom