CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
Selikali ya ki ku..
Bilioni 30 wamelamba wale wa Thenge.
Bilioni 30 wamelamba wale wa Thenge.
Umeziona hizo ripoti za wasimamizi?Kama ni kweli Bora iwe hivyo, maana Serikali isipokua makini uwo uwanja unaweza fungiwa kwa muda mrefu maana ukiacha mapungufu yake ya ki ufundi vinaongezeka vitu vingi vya ki puuzi.
Simba walimwaga chumvi ya mawe viloba vya kutosha, Mafuta ya kupaka wachezaji ili timu ipate ushindi.
Report za wasimamizi wa mechi zikiwa zina elezea uovu wote , Nihatari kwa Uwanja.
Kila Siku nakwambiaga wewe hujitambui ni zuzu kabisa hata kuliko Popoma.Selikali ya ki ku..
Bilioni 30 wamelamba wale wa Thenge.
Nimeamini wenye akili ni wawili tuu,Sasa kama haijafungwa mechi yoyote si ingekuwa bingwa??Msisahau haya mashindano Yanga iliposhiriki haijafungwa hata katika fainali pia haijafungwa
Tunategemea na nyinyi mikia hamtafungwa Hadi mashindano yanaisha
Wakapigie Kenya tu.. maana hatutaki aibu tena..Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi yanaendelea, ingawa bado hakuna uthibitisho kutoka CAF wala klabu ya Simba.
View attachment 3303185
Sawa shangaziWacheze popote na kombe lao la kina mama
Mlishindwa Kumwaga na Nyie Yanga Mtinge Robo ?Kama ni kweli Bora iwe hivyo, maana Serikali isipokua makini uwo uwanja unaweza fungiwa kwa muda mrefu maana ukiacha mapungufu yake ya ki ufundi vinaongezeka vitu vingi vya ki puuzi.
Simba walimwaga chumvi ya mawe viloba vya kutosha, Mafuta ya kupaka wachezaji ili timu ipate ushindi.
Report za wasimamizi wa mechi zikiwa zina elezea uovu wote , Nihatari kwa Uwanja.
Utakufa nakihoro...Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Haya kuhusu utopolo usiye na akili...Hiyo timu ni mchekea tu, ni ya kupigwa nyumbani na ugenini. Ni timu ndogo hiyo wala haifahamiki sana afrika
Mtakufa mwaka huuKama ni kweli Bora iwe hivyo, maana Serikali isipokua makini uwo uwanja unaweza fungiwa kwa muda mrefu maana ukiacha mapungufu yake ya ki ufundi vinaongezeka vitu vingi vya ki puuzi.
Simba walimwaga chumvi ya mawe viloba vya kutosha, Mafuta ya kupaka wachezaji ili timu ipate ushindi.
Report za wasimamizi wa mechi zikiwa zina elezea uovu wote , Nihatari kwa Uwanja.
FAta mambo yako wachana na mnyama Simba..Msisahau haya mashindano Yanga iliposhiriki haijafungwa hata katika fainali pia haijafungwa
Tunategemea na nyinyi mikia hamtafungwa Hadi mashindano yanaisha
Kwa kweeli. 😅Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Mimi nimekuelewa vizuriZa chini ya kapeti zinadai ubovu wa uwanja wa mkapa ni ajenda maalumu ili zanzibar wapewe mechi za kimataifa zaidi na kukuza utalii wa zenji kwa kuitangaza
Unamuombea tajiri njaa😀😀😀Kwa kweeli. 😅
Kubwa kwetu atolewe tu.
Mmekumiss we mtu.Unamuombea tajiri njaa😀😀😀