Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

Umeziona hizo ripoti za wasimamizi?
 
Msisahau haya mashindano Yanga iliposhiriki haijafungwa hata katika fainali pia haijafungwa

Tunategemea na nyinyi mikia hamtafungwa Hadi mashindano yanaisha
 
Meneja wa uwanja huko Zanzibar naye ajiandae kufurushwa na wazee wa Simba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakapigie Kenya tu.. maana hatutaki aibu tena..
 
Mlishindwa Kumwaga na Nyie Yanga Mtinge Robo ?
 
Wacheze popote na kombe lao la kina mama
Utakufa nakihoro...

Wakati munajipa faraja kuwa ni kombe la kina mama mwenzako anazidi ongeza point huko CAF za club bora barani Afrika... Wakati wewe unasema ni kombe la kina mama Simba alikuwa nafasi ya Sita kama club bora Barani Afrika... Mnyama akatinga nusu Fainali ya Kombe la Kinamama mara PAAp Kasogea mpka nafasi ya NNE Kama Club Bora barani Afrika... Wewe na club yako mko wapi..? Mkasau kuwa ni kombe hilo hilo la Kina mama liliwafanya mkotoka nafasi 78 mpka nafasi ya 18 kwa ubora....

Endelea Kuota... maza fanta pathetic
 
Mtakufa mwaka huu
 
Wakacheze mechi zote 2 hukohuko south, hata hapo Amani wataleta mvua hawa wachawi
 
Msisahau haya mashindano Yanga iliposhiriki haijafungwa hata katika fainali pia haijafungwa

Tunategemea na nyinyi mikia hamtafungwa Hadi mashindano yanaisha
FAta mambo yako wachana na mnyama Simba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…