Mechi ya Simba SC na Stellenbosch kupigwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar

TFF watawapeleka kwa mkapa, maana Simba sasahivi anadeka kama KE kwa TFF! Mechi za Ligi na Crdb cup anajichagulia mda wa kuzicheza na Me wao TFF ana muteπŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Wanaoamua sio TFF ni CAF, wameona kilichotokea robo fainali vs Al masry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…