Okay!.... tuombe uzimaKwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini striker hatari Mabululu atapata goli dakika ya 87
Haya matokeo katika mchezo huo ni mabaya Kwa Simba, na Simba atakuwa ameondoshwa kwenye mashindano
Sisi wataalam wa mambo ya rohoni, tumejaribu kubadilisha matokeo lakini imeshindikana
Nawapa pole sana mashabiki wa Simba Kwa matokeo hayo
Basi wajipange mwakani
Nani anakuwa kafuzu kati yaoKwenye ulimwengu wa wa roho

Sare yoyote ya magoli Simba OUT.Nani anakuwa kafuzu kati yao
Malizaneni na kagomaKwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini striker hatari Mabululu atapata goli dakika ya 87
Haya matokeo katika mchezo huo ni mabaya Kwa Simba, na Simba atakuwa ameondoshwa kwenye mashindano
Sisi wataalam wa mambo ya rohoni, tumejaribu kubadilisha matokeo lakini imeshindikana
Nawapa pole sana mashabiki wa Simba Kwa matokeo hayo
Basi wajipange mwakani
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa.....Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini striker hatari Mabululu atapata goli dakika ya 87
Haya matokeo katika mchezo huo ni mabaya Kwa Simba, na Simba atakuwa ameondoshwa kwenye mashindano
Sisi wataalam wa mambo ya rohoni, tumejaribu kubadilisha matokeo lakini imeshindikana
Nawapa pole sana mashabiki wa Simba Kwa matokeo hayo
Basi wajipange mwakani
Simba inashinda goli zisizopungua 3. Asiposhinda nitukaneni kwa kuniita MwijakuKwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo
Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio
Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini striker hatari Mabululu atapata goli dakika ya 87
Haya matokeo katika mchezo huo ni mabaya Kwa Simba, na Simba atakuwa ameondoshwa kwenye mashindano
Sisi wataalam wa mambo ya rohoni, tumejaribu kubadilisha matokeo lakini imeshindikana
Nawapa pole sana mashabiki wa Simba Kwa matokeo hayo
Basi wajipange mwakani
Mkuu umejuaje jamaa ni masikiniUmeshindwa kuona umaskini wako kwenye ulimwengu wa roho uje uone mambo ya Simba