Mechi ya Simba vs Al Ahly Tripoli itaisha sare ya 1-1 hapo Jumapili

Kwenye ulimwengu wa wa roho
Mechi ya Simba ambayo itachezwa jpili, umeisha salama, sisi wataalam wa ulimwengu wa roho yaani tunaotazama matukio kabla hayajatokea tumeitazama imeisha hivo

Watakaotazama hiyo mechi watatazama marudio

Simba watapata goli dakika ya 19, Kwa mkwaju wa penalt, lakini striker hatari Mabululu atapata goli dakika ya 87

Haya matokeo katika mchezo huo ni mabaya Kwa Simba, na Simba atakuwa ameondoshwa kwenye mashindano

Sisi wataalam wa mambo ya rohoni, tumejaribu kubadilisha matokeo lakini imeshindikana

Nawapa pole sana mashabiki wa Simba Kwa matokeo hayo
Basi wajipange mwakani
😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Mungu shemeji yako?, hebu toka hapa
 
Back
Top Bottom