Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,179
- 2,948
Duuu sijui mm nmekuta Facebook
Kama hukutaka kujiridhisha angalau weka chanzo. Usijekuta ushafanya uchochezi.Duuu sijui mm nmekuta Facebook
Ratiba ya ligi si msahafu.Tarehe nane simba wana mechi na pamba, na tarehe kumi na moja simba wana mechi na kmc, kwa mujibu wa ratiba ya sasa nbcpl sasa sijui hapo itakuwaje tena
Hovyo kabisa weweHiyo nmekutana nayo imesambaa wenye ukweli mje
27/04 - Stellenbosch vs SimbaTarehe nane simba wana mechi na pamba, na tarehe kumi na moja simba wana mechi na kmc, kwa mujibu wa ratiba ya sasa nbcpl sasa sijui hapo itakuwaje tena
Huyu alikosea fani, kwenye riadha asingekuwa na mpinzani.
Ndio nafahamu hilo mkuu, tena umesahau na tarehe kumi na nne pia tuna mechi ya ligi na singida, nawaza tukifuzu fainali hivyo viporo sijui kama tutatoboa vyote na sijui tutavimaliza lini27/04 - Stellenbosch vs Simba
02/05 - Simba vs Mashujaa
05/05 - JKT vs Simba
08/05 - Simba vs Pamba
11/05 - KMC vs Simba
16-18/05 - Simba vs Singida (CRDB Cup) ??????
17/05 - CAFCC Final (Game 1)
Hapo kuna mechi lazima ziahirishwe.
Ukiokota takataka huko usilete hukuDuuu sijui mm nmekuta Facebook
Utopolo ndio wamekomaa hawacheziWanasimba msitukimbie tena
Hapo Simba icheze mechi za Mashujaa, JKT na Pamba. Zingine zote zisubiri.Ndio nafahamu hilo mkuu, tena umesahau na tarehe kumi na nne pia tuna mechi ya ligi na singida, nawaza tukifuzu fainali hivyo viporo sijui kama tutatoboa vyote na sijui tutavimaliza lini
😀😀Sawa mwanetuSimba huwa naifuatilia kimataifa tu basi, huko ligi za mchangani ishinde isishinde watajua wenyewe.
Tungecheza tu na hiyo ya kmc kabisa maana tarehe 11 na 17 bado kuna kamuda na hapo bado mechi na utopolo nayo inahitaji maandalizi makubwa, japo kwa ratiba hiyo nawaza kama wachezaji bado watakuwa na energy ile ile au watakuwa washachoka sababu ya kucheza mfululizo, kocha angebadili kikosi kwenye zile mechi anazoona nyepesi maana hapo mechi ngumu zilizobaki ni za jkt, singida, na yanga tu hizo ndio za kupanga kikosi cha kwanzaHapo Simba icheze mechi za Mashujaa, JKT na Pamba. Zingine zote zisubiri.
Tumalizane kwanza na CAFCC, hizo zitachezwa tu siku zipo.
I doubt sana kama hiyo ya KMC kama itachezwa maana kama Simba itaingia fainali nadhani itataka iwahi kidogo kwenda Morocco. Hakuna haja ya kuzikimbiza sana hizo mechi za ligi.Tungecheza tu na hiyo ya kmc kabisa maana tarehe 11 na 17 bado kuna kamuda na hapo bado mechi na utopolo nayo inahitaji maandalizi makubwa, japo kwa ratiba hiyo nawaza kama wachezaji bado watakuwa na energy ile ile au watakuwa washachoka sababu ya kucheza mfululizo, kocha angebadili kikosi kwenye zile mechi anazoona nyepesi maana hapo mechi ngumu zilizobaki ni za jkt, singida, na yanga tu hizo ndio za kupanga kikosi cha kwanza