DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Waombe tu hiyo ya KMC iahirishwe halafu za JKT na Pamba zisogezwe siku moja moja mbele. Kwa mtazamo wangu hiyo ndiyo itakuwa ratiba rafiki zaidi kwa Simba.Tungecheza tu na hiyo ya kmc kabisa maana tarehe 11 na 17 bado kuna kamuda na hapo bado mechi na utopolo nayo inahitaji maandalizi makubwa, japo kwa ratiba hiyo nawaza kama wachezaji bado watakuwa na energy ile ile au watakuwa washachoka sababu ya kucheza mfululizo, kocha angebadili kikosi kwenye zile mechi anazoona nyepesi maana hapo mechi ngumu zilizobaki ni za jkt, singida, na yanga tu hizo ndio za kupanga kikosi cha kwanza
Kwahiyo unatuletea taarifa za Facebook?Duuu sijui mm nmekuta Facebook
Wewe kama mimi mkuuSimba huwa naifuatilia kimataifa tu basi, huko ligi za mchangani ishinde isishinde watajua wenyewe.
Zile nyodo zenu za "HATUCHEZI" zimeishia wapi?vikao vya wazee nchi nzima na kuitisha press za "hatuchezi" kumbe ulikuwa upuuzi mtupu?Wanasimba msitukimbie tena
Sawa siyo mbaya maana nilidhani kupostpone haiwezekani, nilidhani simba italazimishwa icheze mechi zake hivyo hivyo ili kukimbizana na muda, ila kocha ajitahidi tu kubadili kikosi maana kikosi cha kwanza wengi wameshachokaI doubt sana kama hiyo ya KMC kama itachezwa maana kama Simba itaingia fainali nadhani itataka iwahi kidogo kwenda Morocco. Hakuna haja ya kuzikimbiza sana hizo mechi za ligi.
Simba ikichelewa kucheza mechi zake ni faida sana maana timu nyingi tayari zitakuwa zinajua nafasi zao kwenye ligi kwa hiyo labda wawe kauzu au vibaraka, wengi hawatakaza kihiiivyo.
Halafu hautaki kuingia kwenye risk ya kutoka sare au kufungwa na hatimaye kupoteza kabisa nafasi ya kuwa bingwa wa NBC kabla ya kwenda Morocco.
Ni kweli binafsi mimi kama mwana SimbaSC napata hofu kwa namna vipori vinavyozidi. Kuna vitakavyochachaNdio nafahamu hilo mkuu, tena umesahau na tarehe kumi na nne pia tuna mechi ya ligi na singida, nawaza tukifuzu fainali hivyo viporo sijui kama tutatoboa vyote na sijui tutavimaliza lini
Jambo la kitaifa hili, TFF ni waelewa. Watu wanasahau kipindi kile Yanga ipo shirikisho ilikuwa inaahirishiwa mechi zake za Dar kwa wiki nzima wakati mechi inayofuata ya kimataifa nayo ipo Dar.Sawa siyo mbaya maana nilidhani kupostpone haiwezekani, nilidhani simba italazimishwa icheze mechi zake hivyo hivyo ili kukimbizana na muda, ila kocha ajitahidi tu kubadili kikosi maana kikosi cha kwanza wengi wameshachoka
Ukiwahi tiba utapona!