Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

Mechi ya Simba ya Yanga yasogezwa mbele hadi Novemba 7

Kuna shida kwenye mamlaka za soka TFF na bodi ya ligi zijipime kama zinatosha kuongoza soka
 
Hii taaarifa inaibeba Simba zaidi, maana ndiyo timu yenye wachezaji wengi walioitwa na timu za mataifa mengine. Anyway siyo mbaya maana ni bora timu icheze ikiwa kamili ili visiwepo visingizio baada ya mchezo.
 
ni ujinga sana unafanyika ndani ya tifuatifua na bodi ya ligi
 
Wameamua kuwabeba simba kwa mara nyingne tena..ni kwamba Yanga wachezaji wake wengi hawajaitwa kimataifa..mikia wao wameitwa so wanaona kama wasipokuwepo itakuwa soo wakt huohuo huwa wanajinasibu kuwa na kikosi kipana kama domo la msemaji wao.
Si mmejinasibu kuwa mmesajili Nyota wa Kimataifa? kumbe mlituzuga huku mkijua mmesajili Makarasha tu. Ona sasa hata hawajaitwa hata kwenye Timu za Mchangani kwenye Nchi zao. Simba is Another Level. Utopolo ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ. Janja yenu tunajua si bado mnamsubiri Kocha awazoe Vilaza wake?
 
Bt ukifikiria ni ngumu kuelewa wachezaji hawa wamesajiriwa kipindi cha korona na waliweza kuja nchini sasa hvi tunaambiwa kuwa kuna uwezekano wa kutofika kwa muda bt kuna shda somewhere
 
Nashindwa kuelewa, mechi iliyoahirishwa ni ya Simba na Yanga tu au na mechi zote za hiyo wkeend?.
 
Simba wanalalamika ooh wachezaji wetu tegemeo wameenda timu zao za taifa. Si mlisema mna kikosi kipana au ndo asipokuwepo chama na mixson kwisha habari yenu
 
Utopolo wamefanikiwa kuahirishiwa mechi ila kipigo ni palepale, tarehe 9 November kuna mechi dhidi ya Tunisia wakati kati ya tarehe 13 hadi 14 simba watakuwa na mechi ya klabu bingwa wamepanga tarehe 7 ili wakibadili tena ionekane Simba ni sababu afadhali wangesozeza tarehe 21 jumatano
 
Vizuri sana ngoja uchaguzi upite kwanza.
Tusije tukawakosa baadhi ya wapigakura.
 
Kwanza hakuna team yoyote kubebwa ila hili ni siasa zaidi na kutaka kupata watu wengi zaidi hali ya kisiasa ikitulia na hata hii Nov watabadilisha tu kama kawaida yao. Tarehe 18 ilipangwa siku nyingi walijuwa vizuri sana calender ya mpira international games na hoja yao kuwa usafiri sijui halina mashiko ndio kwanza sasa hivi usafiri umekuwa rahisi kuliko wakati ligi inaanza.

Mimi sina shida na hili shida yangu chombo kama TFF au bodi kuongea uwongo kufanya watu wajinga hawaelewi. Ligi ikishapangwa ni basi juzi tumeona Juv na Napoli bodi ya ligi imekataa kabisa kuchange tarehe pamoja na changamoto za kisiasa katika jimbo la naples sisi tunabadili kwa dhana tu. semeni tumeambiwa sababu za kisiasa mwisho. wawekezaji hawaji kwa mtindo huu mtabaki na Azam.
 
Back
Top Bottom