Mechi ya Tabora United vs Young Africans yasogezwa mbele

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April
Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza

Kila la heri timu ya wananchi

Yanga bingwa
 
Taarifa rasmi ya kusogezwa mechi sijaiona popote.

Nadhani tarehe rasmi tayari ilikuwa ni hiyo 02/04. Huyu chura anatafuta tu kiki za kijinga.
 
Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April
Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza

Kila la heri timu ya wananchi

Yanga bingwa
Hiyo taarifa weka hapa tuone...
 
Back
Top Bottom