DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwa hiyo umma hautakiwi kupewa taarifa rasmi kuwa tarehe ya mechi imebadilika? Aisee, nyie watu mnazidi kuchanganyikiwa.Taarifa rasmi hapewi mbumbumbu
Kwa hiyo umma hautakiwi kupewa taarifa rasmi kuwa tarehe ya mechi imebadilika? Aisee, nyie watu mnazidi kuchanganyikiwa.Taarifa rasmi hapewi mbumbumbu
Acha maneno mengi, posti hapa chanzo cha taarifa yako. Ndiyo utaratibu ulivyo.Taarifa ipo ila kama mbumbumbu huwezi kuiona
Mechi itachezwa J5 ni kwa sababu ndiyo tarehe iliyokuwa imepangwa toka awali na si tarehe mpya kama ulivyoileta hapa.Akili yako imejiandaa Kwa ubishi
Subiri Jumatano mechi itachezwa
Tarehe ya awali ilikuwa tarehe 1
Imetolewa wapi?Taarifa imetoka Leo mchana
Nadhani wote watakuwa wamejiridhisha kuwa kuna nati zimelegea sehemu kwa huyu mdau mwenzetu.Hapa Jamii forums
ImeahirishwaKwanini?
Yanga hatuchezi mechi zinazoahirishwa na kusogezwa mbele. Tutaenda uwanjani tarehe 1Tarehe ya awali ilikuwa tarehe 1
Hivi hizo kanuni mmeziona wapi? Kuna kundi kubwa la wapuuzi wamekariri neno kanuni, lakini ukiwaambia wazilete hapa wanashindwa maana hazipo.Kanuni ni kabla ya saa 24
Sio kuhairisha mechi Bado saa 4
Acha kunisumbua na ubishi wakoHivi hizo kanuni mmeziona wapi? Kuna kundi kubwa la wapuuzi wamekariri neno kanuni, lakini ukiwaambia wazilete hapa wanashindwa maana hazipo.
Hiyo ya saa 24 labda ni ya kwako, ila TPLB hawana kitu kama hicho
View attachment 3288221