Nyuki anaenda kukumbatiwa na kupigwa mabusu mengi sana kudadekiHakika hao watoto wa Rage lazima wapigwe
Hiyo taarifa weka hapa tuone...Mechi ya Tabora United vs Young Africans iliyokuwa ichezwe tarehe 1 April 2025, Sasa itachezwa tarehe 2 April
Bodi ya ligi wamewapa taarifa timu zote kutokana na kanuni kuwaruhusu kuhairishwa mechi kabla ya saa 24 kama itavowapendeza
Kila la heri timu ya wananchi
Yanga bingwa
Mnajitekenya na kucheka wenyewe utopolo....Hiyo laZima mkuu
Taarifa si ni public....???Taarifa rasmi hapewi mbumbumbu