Mechi ya Tabora United vs Young Africans yasogezwa mbele

Kwa hiyo umma hautakiwi kupewa taarifa rasmi kuwa tarehe ya mechi imebadilika? Aisee, nyie watu mnazidi kuchanganyikiwa.
Taarifa ipo ila kama mbumbumbu huwezi kuiona
 
Mechi itachezwa J5 ni kwa sababu ndiyo tarehe iliyokuwa imepangwa toka awali na si tarehe mpya kama ulivyoileta hapa.
Tarehe ya awali ilikuwa tarehe 1
 
Nadhani wote watakuwa wamejiridhisha kuwa kuna nati zimelegea sehemu kwa huyu mdau mwenzetu.
Rage alikuwa sahihi kuwaiteni mbumbumbu
Wewe taarifa unaiona Bado unaulizia taarifa
Upo timamu kweli?
 
Kisa sikukuu wachezaji watakuwa wamevimbiwa sana?
 
Kanuni ni kabla ya saa 24
Sio kuhairisha mechi Bado saa 4
Hivi hizo kanuni mmeziona wapi? Kuna kundi kubwa la wapuuzi wamekariri neno kanuni, lakini ukiwaambia wazilete hapa wanashindwa maana hazipo.

Hiyo ya saa 24 labda ni ya kwako, ila TPLB hawana kitu kama hicho

View attachment 3288221
Acha kunisumbua na ubishi wako
Hebu ninywe safari lager zangu Eid hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…