Wakati unakunywa bia, endelea kutafuta ni wapi saa 24 zimetajwa kwenye kanuni za msimu huuAcha kunisumbua na ubishi wako
Hebu ninywe safari lager zangu Eid hii
RC kagoma huo ujinga, walalamika eti kwa kuwa shabiki wa Simba. Ngoja tuone kama atalegeaMuda wa kutosha Kwa GSM kuongea na Tabora 😡
Basi ngoja nitumie busara kukaa kimyaAcha usumbufu kaa na kanuni zako