Ni kwa nchi hii tu. Lakini kwa nchi zilizopiga hatua kama Kenya hapo Hakuna wa kuulizwa zaidi ya waziri. Hapo umeongezea na waziri wa mchezo,na wao watajua watu wao. Unafikiri Mwinyi alivyojiuzuru kufariki kwa maabusu,kwani kule kulikuwa hamna wakuu wa hizo magereza?.
Alifeli tu kwenye democracy. Lakini kwenye maendeleo ya nchi,sijaona wa kumfananisha. Hivi unajua angekuwepo mpaka sasa lile kingekuwa tayari kazini?. Umeme ungekuwa historia kukatika
Yaani ukiachana na kuchapwa bao moja, ilikuaje umeme ulikata? Sasa hii hali kweli walikuwa hawajajipanga tangu kipindi cha ujenzi? Hizi ni changamoto za kuzingatiwa mapema ili kuepuka tafrani na aibu ... dah haikuwa poa aiseee