Tunisia ebu tandika hao nguruwe fc 3 bila ili wananchi kesho tuingie maofisin kwa raha mustarehe...
Raia wa Tunisia tujuane mapema
Soma post #19 wewe paziaHatuna uwezo was kuchezesha mechi saa nne usiku, mechi nisaa mbili, tembelea @CAF online
Mechi ni saa nneKuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
iyo link itaonyesha live auKuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
Kama una mb za kutosha, fuatilia kupitia hiyo linkBei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.l.facebook.com
Wewe jua tu hakuna mechi.Mbona sielewi mara saa mbili mara nne tushike lipi sasa
Ok nimeona kama kuna isue za kuregister au sio lazimaNdiyo, muda ukifika fuatilia
Tunisia Kwanza....4-0Team Tunisia mpooooooo!!!
Ebu anzisheni amsha amsha
Umeanza lini kutulisha matangopori?Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
Kama una mb za kutosha, fuatilia kupitia hiyo linkBei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.l.facebook.com
We jamaa unavuta bangi ya wapi?Hatuna uwezo was kuchezesha mechi saa nne usiku, mechi nisaa mbili, tembelea @CAF online
Wewe jua tu hakuna mechi.
Taifa Stars wameshakiri hawana uwezo wa kushinda, labda mechi ichezeshwe na UVCCM.