Mechi ya taifa stars vs Tunisia 17/11/2020 kuchezwa saa 20:00Pm, karibu kwa updates

Hizo taarifa kuwa inachezwa saa 20 tuwekee source. Mimi punter kila bookie ninayemtembelea ameandika inapigwa saa 22.
 
Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
Mechi ni saa nne
 
Attachments

  • IMG_20201117_162110.jpg
    IMG_20201117_162110.jpg
    143 KB · Views: 2
Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
Kama una mb za kutosha, fuatilia kupitia hiyo link
iyo link itaonyesha live au
 
Mbona sielewi mara saa mbili mara nne tushike lipi sasa
 
Team Tunisia mpooooooo!!!
Ebu anzisheni amsha amsha
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna mkanganyiko wa baadhi ya websites kuhusu mechi ya leo kuhusu muda utakapochezwa mchezo wa taifa stars na Tunisia, wengine wameandika saa nne usiku wengine saa mbili usiku, uhalisia ni mechi itaanza saa mbili kamili usiku, karibuni kwa updates za uhakika
====
Kama una mb za kutosha, fuatilia kupitia hiyo link
Umeanza lini kutulisha matangopori?
Mechi ni sa 4 na sio sa 2 kama unavyodai.
 
Hivi tupo kwenye hali gani ya kukaribia kufuzu au bado safari ya matumaini haieleweki
 
Back
Top Bottom