Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
HAMNA WATU WAPUUZI KAMA SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA.
Mechi ya Simba na Yanga ilitakiwa kuchezwa tarehe iyo ya 18/10 .
Wajinga wasokua na Akili, wanapeleka taree 7/11...wakati Taifa na Tunis ni 9/11
Inamaana mechi ya simba na yanga, inaweza pigwa hata mwezi sa 12
Swali nije, hapa katikati Mechi zitakua haziendelei???...nakama zinaendelea kwa nn Mechi ya Simba na Yanga isiendelee kama ilivopangwa awali.
TANZANIA... UKIACHANA NA WANACCM NA CCM ...
WATU WAPILI WANAOONGOZA KWA UPUMBAVU NI TFF.
Nimeongea kuhusu TFF hayo mengine hayanihusu
Simba ndio wameomba mechi kuahirishwaNdugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imeisha na siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
13/Nov Tunisia vs Taifa stars then 17/Nov Taifa stars vs Tunisia Game ya Simba vs Yanga kama ilovyoelezwa hapo awaliNdugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Tunisia vs Tanzania imesogezwa mbeleNdugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Kwa hio nyie mna genge la wahuni wa kutoka nchi nyingine? HAPO SAWA