Mechi ya Taifa stars vs Tunisia tarehe 9/11 simba na yanga tarehe 7/11

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
2,873
Reaction score
6,821
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
 
....
IMG-20201007-WA0009.jpeg
 
HAMNA WATU WAPUUZI KAMA SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA.

Mechi ya Simba na Yanga ilitakiwa kuchezwa tarehe iyo ya 18/10 .

Wajinga wasokua na Akili, wanapeleka taree 7/11...wakati Taifa na Tunis ni 9/11

Inamaana mechi ya simba na yanga, inaweza pigwa hata mwezi sa 12

Swali nije, hapa katikati Mechi zitakua haziendelei???...nakama zinaendelea kwa nn Mechi ya Simba na Yanga isiendelee kama ilivopangwa awali.

TANZANIA... UKIACHANA NA WANACCM NA CCM ...

WATU WAPILI WANAOONGOZA KWA UPUMBAVU NI TFF.
 
Hivi kwani wadau wa soka hatuwezi kuwalazimisha hii mechi ibaki tarehe 18/10. kwa nini wameleta haya mabadiliko ni team gani imelalamikia hii ratiba mpaka wakabadilisha.
 
Mkuu jibu ni moja tu MECHI YA SIMBA NA YANGA TFF WAMEIGEUZA KITEGA UCHUMI CHAO KIKUU NA WAO WANAPANGA KWA KUSIKILIZA UPEPO WA VIONGOZI WA TIMU HIZO MBILI NA NDIO WANAOTUHARIBIA MPIRA.
HAMNA WATU WAPUUZI KAMA SHIRIKISHO LA MPIRA TANZANIA.

Mechi ya Simba na Yanga ilitakiwa kuchezwa tarehe iyo ya 18/10 .

Wajinga wasokua na Akili, wanapeleka taree 7/11...wakati Taifa na Tunis ni 9/11

Inamaana mechi ya simba na yanga, inaweza pigwa hata mwezi sa 12

Swali nije, hapa katikati Mechi zitakua haziendelei???...nakama zinaendelea kwa nn Mechi ya Simba na Yanga isiendelee kama ilivopangwa awali.

TANZANIA... UKIACHANA NA WANACCM NA CCM ...

WATU WAPILI WANAOONGOZA KWA UPUMBAVU NI TFF.
 
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Simba ndio wameomba mechi kuahirishwa
 
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imeisha na siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
13/Nov Tunisia vs Taifa stars then 17/Nov Taifa stars vs Tunisia Game ya Simba vs Yanga kama ilovyoelezwa hapo awali
 
bado tarehe 20 sima wana mechi za CAF moja kwa moja unaona hii hujuma imeilenga simba..aisee ni kichekesho hiki si wangepeleka hata hadi tarehe 24 october?
 
Tiefuefu hii ni kichefuchefu. Tuwatangazia kuwa kama sio trh 18 oct.. hatutarnda uwanjani hiyo trh wanayotaka wao.
 
Simba c mnakikosi kipana,? tatizo lipo wapi,mnakikosi kipana Sana Kama mnavyo jinasibu.nadhan tff wliangalia hilo[emoji41]
 
Ndugu zangu kama kichwa kinavyojieleza,, Tff wapo serious au mimi ndio sijaelewa?? Mechi ya Tunisia na taifa stars imepishana siku mbili Kati ya timu zenu kongwe,, sababu ilikua nini kuhairisha mechi in the first place??
Tunisia vs Tanzania imesogezwa mbele
 
Back
Top Bottom