Basi utaanza wewe!Kesho ni siku muhimu sana kwa Watanzania. Tunaiombea sana timu yetu ya Taifa Stars ifuzu kesho. Ninamshauri Kocha Amunike kuwa kesho kipa atakayeanza awe ni Dida na siyo Manula. Mapungufu ya Manula ni mfupi wa kimo na ana makosa madogo madogo ambayo yanaweza kuigharimu timu.
Kwani Uganda na Lesotho hawana Mungu?Mungu ni wetu sote, natumai atatuangalia kwa jicho la huruma safari hii, maana tangu 1980?!
Na huyu Alhaji unamuongeleaje,aongeze dua?Sawa wanae wa kwao, ila na sisi tunaye wetu ambaye tunamuomba huku mwenyekiti wa kamati akisisitiza kuwa mungu wetu akitutunuku ushindi basi vinywaji vyote nusu bei ili watu wanywe sana kwani wakinywa sana ndio wanatenda mambo mema pia.
Uganda si keshavuka au?
Waambie TFF wapost kuhamasisha watu na pia watupe taarifa rasmi wapi tutapata Ticket leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Amunike anaanza Ally MtoniKesho ni siku muhimu sana kwa Watanzania. Tunaiombea sana timu yetu ya Taifa Stars ifuzu kesho. Ninamshauri Kocha Amunike kuwa kesho kipa atakayeanza awe ni Dida na siyo Manula. Mapungufu ya Manula ni mfupi wa kimo na ana makosa madogo madogo ambayo yanaweza kuigharimu timu.