Kesho ni siku muhimu sana kwa Watanzania. Tunaiombea sana timu yetu ya Taifa Stars ifuzu kesho. Ninamshauri Kocha Amunike kuwa kesho kipa atakayeanza awe ni Dida na siyo Manula. Mapungufu ya Manula ni mfupi wa kimo na ana makosa madogo madogo ambayo yanaweza kuigharimu timu.