Mechi ya Taifa Stars vs Uganda Cranes

Mechi ya Taifa Stars vs Uganda Cranes

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Kesho ni siku muhimu sana kwa Watanzania. Tunaiombea sana timu yetu ya Taifa Stars ifuzu kesho. Ninamshauri Kocha Amunike kuwa kesho kipa atakayeanza awe ni Dida na siyo Manula. Mapungufu ya Manula ni mfupi wa kimo na ana makosa madogo madogo ambayo yanaweza kuigharimu timu.
 
Basi utaanza wewe!
 
Mungu ni wetu sote, natumai atatuangalia kwa jicho la huruma safari hii, maana tangu 1980?!
 
Sawa wanae wa kwao, ila na sisi tunaye wetu ambaye tunamuomba huku mwenyekiti wa kamati akisisitiza kuwa mungu wetu akitutunuku ushindi basi vinywaji vyote nusu bei ili watu wanywe sana kwani wakinywa sana ndio wanatenda mambo mema pia.
Na huyu Alhaji unamuongeleaje,aongeze dua?
tapatalk_1553260646753.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waambie TFF wapost kuhamasisha watu na pia watupe taarifa rasmi wapi tutapata Ticket leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ipo kamati ya kuhamasisha...inaongozwa na mkuu wa mkoa mmoja nchini...msemaji wa klabu fulani kubwa nchini naye yumo...pamoja na wanenguaji fulani...na baadhi ambao huwa nawaona mtandaoni kwa hili na lile...tunaelezwa hiyo ni kamati nzuri ya uhamasishaji...na inasemekana upo uwezekano wa bei za baadhi ya vilevi kushushwa kwa muda fulani, mambo yakiwa mazuri..tehtehtehteh...This is Tanzania..
 
Kesho ni siku muhimu sana kwa Watanzania. Tunaiombea sana timu yetu ya Taifa Stars ifuzu kesho. Ninamshauri Kocha Amunike kuwa kesho kipa atakayeanza awe ni Dida na siyo Manula. Mapungufu ya Manula ni mfupi wa kimo na ana makosa madogo madogo ambayo yanaweza kuigharimu timu.
Kwa Amunike anaanza Ally Mtoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeota tumefuzu Afcon, Ila ndoto yenyewe nimeiota leo mchana.... God bless Tz & Taifa Stars
 
Back
Top Bottom