Mechi ya Tanzania vs Sudan CHAN iko hapa

Shukran mkuu....Hata Sudan wanatushinda kuonyesha online
 
Live ktk radio 5 Choice FM Kiswahili :
Mapumziko dakika 45 ' za mwanzo matokeo :

Tanzania 0 - 0 Sudan

Source : JoySon Entertainment


Tanzanian team : Head Coach Etienne Ndayiragije

  • Juma Kaseja
  • Boniphace Maganga
  • Gadiel Michael
  • Erasto Nyoni
  • Kelvin Yondani
  • Jonas Mkude
  • Mzamiru Yasin
  • Salum Abubakar
  • Shaban Idd
  • Ayub Lyanga
  • Iddi Seleman
 
Huyo Lyanga ni mdebwedo kama timu ya Yanga...Mkude anacheza rafu tu...Chilunda anarukaruka tu...Yondani naye naona amekula ganja kali maana goli halioni ni minazi tu.
 
Radio live Radio 5 Choice FM
Uchambuzi wakati wa mapumziko kipindi cha kwanza
Source : JoySon Entertainment
 
Kipindi cha pili Mechi ya CHAN Cameroon2020 kati ya Tanzania vs Sudan
 
Tumetawala mpira kwa asilimia kubwa lkn tunashindwa kuweka mpira nyavuni,hapa tukipigwa goli moja sizani kama litarudi.
 
Goal!

Tanzania 0 - Sudan 1 dakika ya 60'

Mchezaji Yassir Mohamed jezi namba 9 mgongoni anaifungia Sudan goli la ugenini .
 
Kaseja kishapigwa bao la Tobo

Navyowajua Wabongo lazima waanze kumnyea Mbofu mbofu
 
Mabadiliko timu ya Tanzania , mchezaji wa Simba sc Miraji Athumani namba 7 anaingia huku Ayub Lyanga akipelekwa benchi. Miraji Athumani kabla ya kujiunga na Simba SC alikuwa Lipuli FC ya mjini Iringa, Tanzania.

TANZANIA 1- 0 SUDAN
 
Dakika ya 70'

Tanzania inafanya mabadiliko ya pili, namba 11 Hassan Dilunga anaingia huku 19 Mzamiru Yasin akipelekwa benchi.

Tanzania 0 - 1 Sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…