Coffee
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,304
- 1,312
Hawa wachezaji wangepelekwa tu kwenye mradi wa SGR wakaongeze nguvu tuanze upya na damu changa.MI nafikiri tungeachana na soka tu tufanye mambo mengine ya msingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wachezaji wangepelekwa tu kwenye mradi wa SGR wakaongeze nguvu tuanze upya na damu changa.MI nafikiri tungeachana na soka tu tufanye mambo mengine ya msingi
Naam hakuna njia ya mkato kufika penye kilele cha mnazi uwekezaji na umakini mkubwa unatakiwa haya maandalizi ya zima moto na slogan za kuvutia kama pamoja mpaka cameroo na mengine mengi hayawezi kutufikisha popote.Wabongo tunahitaji kuwekeza kwenye soka kuandaa vijana, sio Hawa wanaonekana kabisa hakuna wanachofanya zaidi ya kurukaruka
Live ktk radio 5 Choice FM Kiswahili :
Mapumziko dakika 45 ' za mwanzo matokeo :
Tanzania 0 - 0 Sudan
Source : JoySon Entertainment
Tanzanian team : Head Coach Etienne Ndayiragije
- Juma Kaseja
- Boniphace Maganga
- Gadiel Michael
- Erasto Nyoni
- Kelvin Yondani
- Jonas Mkude
- Mzamiru Yasin
- Salum Abubakar
- Shaban Idd
- Ayub Lyanga
- Iddi Seleman
Anyewe tu, au Manulo kashafanya yake?Kaseja kishapigwa bao la Tobo
Navyowajua Wabongo lazima waanze kumnyea Mbofu mbofu