Mechi ya Tanzania vs Sudan CHAN iko hapa

Mechi ya Tanzania vs Sudan CHAN iko hapa

Kona kick nafasi Tanzania kufanya kitu, kipa wa Sudan anaiyaka bila kashkashi yoyote.
 
Dakika 90' zimeisha sasa nyongeza za majeruhi 4.

Tanzania 0 - 1 Sudan
 
Huyu jamaa aliechomekea jezi ni nani? Mpira anaocheza ni kiwango cha shule ya msingi.
 
Dakika 90 ' + 4' mpira umekwisha.

Tanzania 0 - 1 Sudan. Mchezaji Yasir Mohamed jezi namba 9 wa Sudan waizamisha Tanzania nyumbani baada ya Tanzania One na mabeki kujichanganya mpira uliogonga mwamba wa kushoto kabla ya mSudani namba 9 mgongoni kuwa mwepesi na kuusukumiza nyavuni na kuzimisha ndoto za waTanzania leo nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa stadium jijini Dar es Salaam, Tanzania.
 
Tatizo la Tanzania ni sugu kila mwaka si vilabu wala timu ya taifa. Tatizo letu kubwa hatuwezi kujilinda na counter attack sisi hatuwezi. Wachezaji wanapenda kupiga chenga na pasi zisizo na msingi
 
Dakika 90 ' + 4' mpira umekwisha.

Tanzania 0 - 1 Sudan. Mchezaji Yasir Mohamed jezi namba 9 wa Sudan waizamisha Tanzania nyumbani baada ya Tanzania One na mabeki kujichanganya mpira uliogonga mwamba wa kushoto kabla ya mSudani namba 9 mgongoni kuwa mwepesi na kuusukumiza nyavuni na kuzimisha ndoto za waTanzania leo nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa stadium jijini Dar es Salaam, Tanzania.

GOAL! Goooaal Naaam Naaam al Sudaniya dakika ya 61' dhidi ya Tanzanie.

Tanzania 0 - 1 Sudan . Fursa iliyoanzia kwa krosi toka kushoto ya uwanja na kumkuta mfungaji aliyepiga shuti likagonga mwamba na kuwapoteza kipa wa Tanzania na mabeki wake kisha mfungaji kupata fursa adimu ya pili kuutia mpira nyavuni.

Inshallah tutakutana Uganda ktk mchezo wa pili kutokana na hatihati ya usalama nchini Sudan.
 
Kwani aliyeibatiza taifa stars jina la kichwa Cha mwendawazimu alishatengua kauli yake!!!?
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭
 
Wabongo tunahitaji kuwekeza kwenye soka kuandaa vijana, sio Hawa wanaonekana kabisa hakuna wanachofanya zaidi ya kurukaruka
MI nafikiri tungeachana na soka tu tufanye mambo mengine ya msingi
 
Back
Top Bottom