Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Shibobo ni mwarabusudan si tuliaminishwa ni waarabu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shibobo ni mwarabusudan si tuliaminishwa ni waarabu!!
Tumepigwa Moja BilaMkuu,vipi Tz tushafunga ngapi?
Dakika 90 ' + 4' mpira umekwisha.
Tanzania 0 - 1 Sudan. Mchezaji Yasir Mohamed jezi namba 9 wa Sudan waizamisha Tanzania nyumbani baada ya Tanzania One na mabeki kujichanganya mpira uliogonga mwamba wa kushoto kabla ya mSudani namba 9 mgongoni kuwa mwepesi na kuusukumiza nyavuni na kuzimisha ndoto za waTanzania leo nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa stadium jijini Dar es Salaam, Tanzania.
[emoji30] [emoji30] bad news indeed, hawa Sudan vipi wameniboaTumepigwa Moja Bila
[emoji30] [emoji30] [emoji30]Tumepigwa 1-0
Mbona hawafanani na hata waarabu wa tangaShibobo ni mwarabu
[emoji30] [emoji30] [emoji3
Aaah ndiyo ivyo
Ngapi ngapi jamani?, kila rakheri Tanzania piga Sudan haoo
Ulichokisema ndo kilichotokea haswa.Tumetawala mpira kwa asilimia kubwa lkn tunashindwa kuweka mpira nyavuni,hapa tukipigwa goli moja sizani kama litarudi.
MI nafikiri tungeachana na soka tu tufanye mambo mengine ya msingiWabongo tunahitaji kuwekeza kwenye soka kuandaa vijana, sio Hawa wanaonekana kabisa hakuna wanachofanya zaidi ya kurukaruka
Huna akili kumkichwa,mkia weHuyo Lyanga ni mdebwedo kama timu ya Yanga...Mkude anacheza rafu tu...Chilunda anarukaruka tu...Yondani naye naona amekula ganja kali maana goli halioni ni minazi tu.
You're missed too El nino,hujambo!Nimekumiss Mumy