Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

Sana watu wamekuja kwenu mnashindwa kuwatia nyingi mnaruka ruka mkitoka mnje ya bongo mnasema eti mmeonewa Kumbe timu yenu bado jipangeni upya hakuna jipya kandambili
 


Na huo ndo msimamo wa kundi ulivyo hadi sasa.. Alafu mnajiita wa kimataifa.
 
July 16, 2016
Dar-es-Salaam, Tanzania
Young Africans vs Medeama. Match played at the National Stadium, Dar-es-Salaam, Tanzania. Final Score 1-1 all goals Full Highlights yanga 2016
Source: Mat Football PR

Compare how TP Mazembe scored their goal against Young Africans

Young Africans Vs TP Mazembe: Final Score : 0- 1
Source: Gabriel Aloyce
 
Wachezaji wa yanga walicheza kama wapo ugenini au wameshinda, kila mara pasi katikati ya uwanja bila mashambulizi ya kwenda mbele, kujiangusha, hawajui kukaba, wanatumia nguvu nyingi kuliko akili na kucheza kitimu.
Ushauri: Mpira ni sayansi hauhitaji maneno mengi kwny radio na magazeti, bali unahitaji focus, Wachezaji wazuri na jitihada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…