Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Hahaha mkuu nmecheka hadi nmeboa [emoji106] [emoji109]Mungu wa nyani,ndo Mungu wa binadamu. [emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha mkuu nmecheka hadi nmeboa [emoji106] [emoji109]Mungu wa nyani,ndo Mungu wa binadamu. [emoji120]
Tunailinganisha na yanga hapa TZHuyu jamaa sio mzima,, yeye na timu yake wanaojua mko wapi mpaka sasa?? Hivi yanga hii ya sasa, utailinganisha na timu gani kwa sasa tz?
Kuna umuhimu jf iwe inatangaza tenda za uanzishaji nyuzi za updatessiku nyingine usianzishe thread kama huwez kuweka update kwa watu
1. Mshindi wa Pili katika CAF Confederation CupKwani simba wana mafanikio gani makubwa kimataifa?
tangu wawe washindi wa pili hadi leo,mtu kazaliwa na kamaliza chuo kikuu na watoto anao,ndo ujue walibahatisha1. Mshindi wa Pili katika CAF Confederation Cup
2. Nusu fainali katika CAF Champions League.
Pitia hapa [emoji116] [emoji116] ushuhudie mafanikio mengine lukuki ya Mnyamaa.
https://en.m.wikipedia.org/wiki/Simba_S.C.