Ruksa kuotabado yanga afrika tuna nafasi ya kusonga mbele ikiwa tutashinda gemu zote...wa kimataifa tupo vizuri sana....hawa madema wameponea chupuchupu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ruksa kuotabado yanga afrika tuna nafasi ya kusonga mbele ikiwa tutashinda gemu zote...wa kimataifa tupo vizuri sana....hawa madema wameponea chupuchupu.
kwa ulivyonuna leo,sidhani kama utatoa ishu,shem atambue mnuno wakoHilo tu? Ndilo ulilokuwa ukilitaka?
Basi sawa...hongera.
Wakimataifa ni sawa na Jaklini Ntuyabaliwe.... wanaolewa na wakongwe. dahHahaha
Wakimataifa
mmeionaje yanga?? me kwa mtazamo wangu naona bado sana hawajuii
Bado tunapanda ndege mara 3 nyingine wakati wamchangani wakinywa chai na kalimati kule manungu.Wapanda ndege wameshushwaaaaaaaa!!! Dare breath a word?
Naungana nawe Mkuu.. Ndala bado sana.. Hawajui.. Na wanaliabisha taifa.mmeionaje yanga?? me kwa mtazamo wangu naona bado sana hawajuii
Kwanini tunatia aibu