Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

hawa yanga sidhani kama wana nia ya dhati ya kuendelea na mashindano haya .
 
Kidogoo tutalalaa maana hawa watu wenye kijani wangetulaza njaaa leo .medeama pongezi kwenu kwa kutufanya tutembee vifua mbelee mtaani
 
Full time
Yanga 1 1 medeama
Ngoma dk 2 benard dk 17

Haaaa haaaaa wakimataifaaaa chaliiiiiii bye byeee byee
 
Kidogoo tutalalaa maana hawa watu wenye kijani wangetulaza njaaa leo .medeama pongezi kwenu kwa kutufanya tutembee vifua mbelee mtaani
Mkuu FT ikoje? Tumeshinda ama? Sisi Mediama
 
Back
Top Bottom