Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

Mechi ya Yanga FC Vs Mediama - Uwanja wa Taifa, Dar 16 July 2016

Huyu jamaa sio mzima,, yeye na timu yake wanaojua mko wapi mpaka sasa?? Hivi yanga hii ya sasa, utailinganisha na timu gani kwa sasa tz?
 
Mm naona wote tupo sawa,tofauti kucheza lakin ki'ukweli aliyeshiriki na asiye shiriki wote tupo sawa tuuu,sasa haileti maaan kushiriki hata ucambulie hata points3
 
Et zamu ya nani leo?.usihofu simba zamu yako itafika....noma sana...
 
Mimi ndiyo maana sipendi mpira wa Tanzania. Yaani sijawahi kuona timu inayobebwa kwenye mitandao kama Yanga na ndugu zao Simba. Wao mpira wao ni kwenye magazeti tu, ukija uwanjani ziro. gazeti la BINGWA la leo lina kichwa cha habari ..."Kombinesheni Ya Ngoma, Chirwa, Mahadhi...Madeama FC Hawatoki." Kuna magazeti mengine pia yana upuuzi kibao juu ya kusifia uozo wa Yanga. Kiko wapi....Muda umefika kuacha kuzibeza hizi timu ni za kipuuzi sana na ndizo zinaoua soka letu. Mavi tupu....mechi tatu tayari hakuna cha maana walichokifanya Yanga zaidi ya kuwatia hasara wadhamini wao.
 
Kwanini tunatia aibu


Sio Sie tunati haibu....Yanga siku zote ni timu ya magazetini tu....when it comes to International games hawana ubavu, visingizio kibaooooo. Miaka karibu ya 50 sasa, visingizio vile vile, wanaacha kuja na vipya.
 
Back
Top Bottom