ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,676
- 3,451
walisema wanaonesha ila naona kimyaTBC inaonyesha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
walisema wanaonesha ila naona kimyaTBC inaonyesha?
Nani kafunga??Goalllllllll
Tayari MEDIAMA wameshatupia goli la kwanza
Hahahah mbona imetuliaHii score board ya ZBC2 inaudhi sana kuweka nyekundu na nyeupe
Mkuu, nipo nitakuepo naendelea kuepo na kupita all the time usipate shakamechi ikiisha uje upite hapa
David BeckhamNani kafunga??
Ngoma anaongoza kulingana Na score board ya zbc2 nami ndio naikuta sasaNaskia Yanga kishapigwa
Ngoma anaongoza kulingana Na score board ya zbc2 nami ndio naikuta sasaNaskia Yanga kishapigwa
TBC 1 hawapo hewani?Mi natumia startimes wanaonyesha channel gani?
Naona wameweka kpindi cha michezo ila hawajaweka mechi liveTBC 1 hawapo hewani?
Hahahaah ndio Nani huyuDavid Beckham
acha ununda..Goalllllllll
Tayari MEDIAMA wameshatupia goli la kwanza
Kaa nasi utapata kila kituTunaomba updates mlio uwanjani, karibu na tv au access yyt