Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

wazee wa domokaya naona leo tutalala mapema

vipi wamegawa nauli?? maana dezo dezo fc wengine wametoka mbali sana
 
Wameachia Bure pia! tabia zao za Bure kupenda Dezo wameachia BURE!
 
Uwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...
eeeeh vyura wa jangwani leo mmekutana na mamba wa Katanga hahahahaaaa churaaaaaaa
 
All in all Yanga wamecheza vizuri sana,nimekoshwa sana na kandanda walilolitandaza Leo.
Mimi kama shabiki wa Yanga niliyetukuka...nimeumia ila maumivu sio makali sana kwa kiwango kile murua.
Laiti kama tungevurunda kabisa ningeumia zaidi.
Kubwa kuliko yote,bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno naomba nimshukuru sana Mtanzania mwenzetu anayeichezea TP Mazembe kwa uzalendo aliounesha.
Laiti kama angeamua 'kutuchinjia baharini' basi leo tungelala 3-0.
Asante Manji,
Asante Thomas Ulimwengu. [emoji11]
 
Uwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...

Hainaga ushemeji tunakulaga!

Zamu ya nani leo, zamu ya TP Mazembe Tunakulaga! Zamu yako itakuwa kesho tunakulaga.

Al Ahly kapita, MO Bejaia, Lamba Lamba kapita.
 
Haya tena watani zangu....kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi......

Mjipange kwa mechi zijazo.......
 
Yanga anatoka jasho Simba anapata raha, Sasa nimejua kwa nini mwanamke kwenye sita sita hata mechi iwe Kali Kiasi gani lakini hatoki jasho.!
 
Yanga wanapaswa kujilaumu wenyewe wamepata nafasi nyingi sana za wazi kuliko mazembe.!
All in all poleni sana.
Asanteni kwa kandanda Safi.
 
Yanga anatoka jasho Simba anapata raha, Sasa nimejua kwa nini mwanamke kwenye sita sita hata mechi iwe Kali Kiasi gani lakini hatoki jasho.!
Mtatukana sana lakini mshapigwa kimoja tena cha nguvu na kinawauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…