Mkuu niko mbali na Dar es salaam hebu fanya kuzituma wasap ila tcra wasikuone maana utanyang'anywa silaha harakaharakaUko karibu mkuuu? Nikutafutee ata nikupe bia moja ila ka hutumiii nisamehee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu niko mbali na Dar es salaam hebu fanya kuzituma wasap ila tcra wasikuone maana utanyang'anywa silaha harakaharakaUko karibu mkuuu? Nikutafutee ata nikupe bia moja ila ka hutumiii nisamehee
Hahaha situmii mkuu ila ingenilazimu nikusupportMkuu Kiukweli ka upo karibu tutafutane tupate moja bariiiiiiiiiiiiiidiiiiii
Ilaa kweli hii aibu ya mwaka ,, ila vya bure vinauaHahaha situmii mkuu ila ingenilazimu nikusupport
eeeeh vyura wa jangwani leo mmekutana na mamba wa Katanga hahahahaaaa churaaaaaaaUwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...
Uwezo wa kuingia hamna mmeingizwa bure, siye yetu yanatuendea. Kufungwa ni sehemu ya mchezo. Tuwaulize nyie paka wa matopeni. Sisi habari yetu ndio hiyo...
Kawafanyaje.......? Unataka kusema wameingizwa bure.!
Kwa maana hiyo chura kagongwa goli moja😀😀😀😀No, Yanga leo karuka ruka kama Chura mwishoni kabisa kafungwa!
Kama Chura wa Snura aliruka ruka then akaingia gereza la TCRA!
Yaani simba aka paka, wameingizwa buree. Sisi ndio wenye mechi, wao tumewaingiza hahahahahaa idawa usinitafutie ban banaKawafanyaje.......? Unataka kusema wameingizwa bure.!
Ni mwendo wa kutembea hakuna namna..Manji sasa tunarudije? Maana yale magari yaliyotuleta hayaonekan mpka muda huu.
Ndio mkome vya bureManji sasa tunarudije? Maana yale magari yaliyotuleta hayaonekan mpka muda huu.
Kwa maana hiyo chura kagongwa goli moja😀😀😀😀
Yanga wanapaswa kujilaumu wenyewe wamepata nafasi nyingi sana za wazi kuliko mazembe.!All in all Yanga wamecheza vizuri sana,nimekoshwa sana na kandanda walilolitandaza Leo.
Mimi kama shabiki wa Yanga niliyetukuka...nimeumia ila maumivu sio makali sana kwa kiwango kile murua.
Laiti kama tungevurunda kabisa ningeumia zaidi.
Kubwa kuliko yote,bila kupepesa macho wala kumung'unya maneno naomba nimshukuru sana Mtanzania mwenzetu anayeichezea TP Mazembe kwa uzalendo aliounesha.
Laiti kama angeamua 'kutuchinjia baharini' basi leo tungelala 3-0.
Asante Manji,
Asante Thomas Ulimwengu. [emoji11]
Mtatukana sana lakini mshapigwa kimoja tena cha nguvu na kinawaumaYanga anatoka jasho Simba anapata raha, Sasa nimejua kwa nini mwanamke kwenye sita sita hata mechi iwe Kali Kiasi gani lakini hatoki jasho.!