Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Nimependa anavyo cheza yule Kamusoko, hadi nilikua natamani kila wakati apewe mpira.

TP mazembe walikua wanajua nini wanafanya , Yanga walikua wanatafuta ushindi wa sifa.

Goli limefungwa kwa akili sana, kulihitajika mtu anaye ona visivyo onekana kuuzuia ule mpira. Pass ya akili
 
Ndio maana sipendi mipira ya kibongo

Sio tu wakibongo, mie na mpira mbali mbali. Mapenzi ya hadi kuumia siyataki kabisa. Hakuna timu isiyofungwa hata iwe bora kiasi gani. Mbaya zaidi unaumia kwa kitu ambacho hauwezi kufanya jitihada mshinde, wewe una haki ya kuhuzunika tu au kufurahi.
 
Sio tu wakibongo, mie na mpira mbali mbali. Mapenzi ya hadi kuumia siyataki kabisa. Hakuna timu isiyofungwa hata iwe bora kiasi gani. Mbaya zaidi unaumia kwa kitu ambacho hauwezi kufanya jitihada mshinde, wewe una haki ya kuhuzunika tu au kufurahi.
Khaa!! Haya bwana
 
Maana mpira unaboa sana mbaya zaidi kuna kauli za kukera mno mpaka unasikia mtu anasema yanga imepakatwa dah aisseeeee
 
Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
Hv huu upuuzi huwa mnautoa wap
 
75 '' mins TP Mazembe Goal , yaaani Walllahi Tanzanie Tanzanie Simba Fans Celebration!

Young Africans vs TP Mazembe 0-1 but complet et Résumé 2016 Yanga
Source: Gabriel Aloyce
 
*~Hata Arsenal walianza hvi, na wakavuka hatua ya makund Champions League.. Tusikate tamaaa.~*

*_kwa maana, nia tunayo, sababu tunayo, bahat tunYo, uwezo tunao... na *kuwazuia SIMBA wasiingie uwanjan tumefanikiwa_*
 
Dokodoko ya times fm wameidokoa yanga na tff muda huu mpaka huzuni
 
Aaaagh..., yaan mipira mingine ni kuumizana moyo tu.., mtu una-stress zako af unaongezewa tena za kufungwa. Na ndio maana ushabiki wa kutiana presha namna hii huwa siupendi.
 
kufa kiume ndio kifo gan sasa wakati wenzio wamesokomezwa boriti moja kwa nnya!! haha
 
Wacongo man bana, eti akiulizwa kwanini anafikiri watz wamefanya kuingia bure uwanjani
Jibu:"mutu ya musiba hafanyagi malipo. Musiba huwa ni bure kwa ba mutu bote". [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kwamba leo Taifa Yanga wana msiba[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…