Tena itakuwa kafika taifa alfajiriWe mwenyewe upo kundi hilo hilo umejuaje yote hayo kqma haupo eneo la tukio?
Solola bien bigonzo.Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
These are DIE HARD FAN'S OF YANGA.....! pamojaaaaa ktk uzalendo wale wenye roho za samaki utashangaa hata wakienda watavaa jezi za Tpwakiwa katika mistari tayari
JANA TU NIMEBET KWA 20000 NIMEPATA LAKI MOJA FAIDA ELFU THEMANINI HII NI AJIRA TOSHA MKUUWanasubiri tz ya viwanda, ajira hakuna,biashara mitaji hakuna unategemea nn wacha tuishi kwa kubet tu
Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .
Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .
Kwa roho hii ukizeeka si utakuwa mchawi[emoji85] !Wapigweeeee yanga 0 tp 3
Ndio shida bawabu akipata smartphonewe inaonekana umezoea kuingia asubuhi na kutoka saa kumi jioni, usikariri maisha
Kweli umekariri maisha. Nani kakwambia kazi zinafanywa mchana pekee? Tumia uwezo wako wa kufikiriHata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .
Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .
Wengine majini watu humu!Msije mkazimia huko uwanjani baada ya kipigo cha aibu leo hii jumanne....
Sifahamu Elimu yako. Nilichojifunza kupitia post hii, wewe ni mtu mwenye mawazo finyu sana. Ule uwanja unajazwa na watu 60,000 tu. Idadi hiyo ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar es Salaam? Chukulia kuwa population ya Dar es Salaam kwa sasa ni kama 4.1million, watu 60,000 ni kama 1.46%, kati ya hawa ni nini probability ya kuwa mashabiki wa Yanga? Je, mashabiki wa timu nyingine ni kiasi gani? Na wale ambao ni wapenzi wa mpira tu, si wapenzi wa Yanga ni kiasi gani? Endapo maswali haya hayana majibu ya kisayansi, je uko wapi uhalali wa kudai kuwa walioingia uwanjani wote ni mashabiki wa Yanga? Uko wapi sasa uhalali wa kudai kuwa mashabiki wa Yanga ni jobless?Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .
Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .
Kwenu kuna huyo mwanaume wa kulipia wote?Wanaume wote hao wamelipiwa kiingilio na kidume 1! Kweli yanga bei rais! Sasa nyinyi ni wakulipiwa sio wakimataifa tena
Basi tuseme ni walinzi wakati wa usikuKweli umekariri maisha. Nani kakwambia kazi zinafanywa mchana pekee? Tumia uwezo wako wa kufikiri