Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
Solola bien bigonzo.
 
hao mashabiki ni taifa gani.....? hii ni dhahiri kuwa vijana wengi hawana kazi tukiachana na maswala ya mpira.
 
Wengine tukitoka kazini uwanja utakuwa umefurika. Nawatakia mechi safi wana Yanga waliopata nafasi leo. Goli mbili zinatutosha kwa leo. Mengine itakuwa ziada.
 
Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .

Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .

Roho inakuuma umeenda ukakuta wenzio wamekuwahi eti? Yanga ndio mume, kaa kimya
 
Tena afadhali anayecheza pool na kuangalia bunge LIVE wana muda fulani, lakini hao saa 12 asubuhi kurudi home saa 2 usiku. Mbaya zaidi unarudi nyumbani timu imefungwa. Mimi nachapa mzigo ikifika saa 10 naenda home kupitia jezi yangu ya Juventus, then naenda kibandani kujumuika na wengine
 
Acheni zenu nyie, tumeona asilimia 10 ya wakazi wa Iceland wako France kushangilia timu yao ya taifa, je hawa hawana kazi za kufanya?

Mara ngapi tunaona mashabiki huko Ulaya wanasafiri siku 2 kwenda kuiona timu yao ikicheza UEFA, je utasema hao hawana kazi?

Watu wengine kwa sababu ya ushabiki inabidi uombe ruhusa ili akaishangilie timu yake.
 
washabiki wasimba wenye kazi za kufanya wameshindwa kuisaidia timu yao kulipa madeni na kunawakati hata wachezaji wao wanakwenda miezi mitatu bila mshahara mpaka Hans Pop akakope ndio wawalipe tena nusu mshahara,alafu wakati huohuo washabiki wasimba wenye kazi zao na ajira biashara zao wanataka matokeo makubwa sasa wakifungwa ni matusi na kulalama wanaminywa na waamuzi na tff wakati wao pia niwajumbe wakati mbalimbali za tff,amakweli Rage hakukosea kuwaita mambumbumbu..!!!
 
Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .

Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .
Kweli umekariri maisha. Nani kakwambia kazi zinafanywa mchana pekee? Tumia uwezo wako wa kufikiri
 
Kimsingi sioni sababu ya Yanga kujisumbua na mashabiki wa Simba. Hivi mkikomaa dakika ya 10 mnapata goli hao mashabiki wa Simba watakuwa na cha kushangilia kweli?
 
Hata kama wametangaziwa kiingilio ni bure kwa mtu mwenye kazi zake hawezi kwenda uwanjani saa 12 asubuhi , ni dhahiri kwamba atakuwa hana majukumu yeyote yake mwenyewe ama ya ujenzi wa Taifa .

Hivi ninavyoandika hii ni kama vile uwanja umejaa , watu wenye kazi zao hawawezi kujaza uwanja muda huu .
Sifahamu Elimu yako. Nilichojifunza kupitia post hii, wewe ni mtu mwenye mawazo finyu sana. Ule uwanja unajazwa na watu 60,000 tu. Idadi hiyo ni asilimia ngapi ya wakazi wa Dar es Salaam? Chukulia kuwa population ya Dar es Salaam kwa sasa ni kama 4.1million, watu 60,000 ni kama 1.46%, kati ya hawa ni nini probability ya kuwa mashabiki wa Yanga? Je, mashabiki wa timu nyingine ni kiasi gani? Na wale ambao ni wapenzi wa mpira tu, si wapenzi wa Yanga ni kiasi gani? Endapo maswali haya hayana majibu ya kisayansi, je uko wapi uhalali wa kudai kuwa walioingia uwanjani wote ni mashabiki wa Yanga? Uko wapi sasa uhalali wa kudai kuwa mashabiki wa Yanga ni jobless?

Poor mikia fc, mmeanza kulalama mapema, sijui itakuwaje saa 12 baada ya TP Mazembe kulala 2-0.
 
Hii timu ya majobless hata viingilio hawana..kikosi kina wachezaji 6 wakigeni halafu wabasema uzalendo kwanza...
 
nasikia mmejaza uwanja saa mbili! wakati mechi saa tisa
 
Back
Top Bottom