Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Mechi ya Yanga FC Vs TP Mazembe - Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

SWALI LA KIPIMAJOTO . Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui
 
Ukishasema part time, maana yake ameajiriwa mahali fulani for full time. Sasa uwanjani saa 12 hadi 2 usiku kuna daktari gani anaweza kufanya hicho? Hao hawana kazi, serikali ichukulie hiyo kama sample ya utathmini wa ajira
simba bhana, haya nyie wenye kazi mchangishane mumlipe musoti
 
Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa

Oooh,Hilo ndilo tatizo la Timu kuwa a-one Man show.TP wanapashwa kuwa kama Taasisi
 
nilikua nasubiri wadau waanze kutoa povu na kwel nimeliona...
watz tusubiri viwanda vyetu na sisi tuanze kujidai
 
kama juma abdul yupo basi mazembe washafungwa
 
Tangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
Ccm na yanga kipi kilitangulia? Acha kufikiri kichamachama au rangi za jezi ndo zinakuchanganya
 
SWALI LA KIPIMAJOTO ITV. Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui.....je wewe jibu lako
Bila kificho wala kujiumauma!! Hii ndio hali halisi ya ukosefu wa ajira Tanzania!!
 
Back
Top Bottom