FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Hii ni timu ya Tanzania?? Naona wachezaji wanne tu kati ya 11 ndio wa Tanzania.... Ooooohh ni Manji ndiye kawanunulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
simba bhana, haya nyie wenye kazi mchangishane mumlipe musotiUkishasema part time, maana yake ameajiriwa mahali fulani for full time. Sasa uwanjani saa 12 hadi 2 usiku kuna daktari gani anaweza kufanya hicho? Hao hawana kazi, serikali ichukulie hiyo kama sample ya utathmini wa ajira
Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
Kwa roho hii ukizeeka si utakuwa mchawi[emoji85] !
[emoji107]R.I.P YANGA
Ccm na yanga kipi kilitangulia? Acha kufikiri kichamachama au rangi za jezi ndo zinakuchanganyaTangu nigundue yanga ni timu ya CCM nilijivua uanachama na mapenzi kabisa...tp mazembe timu piga yeboyebo vyura fc bao NNE tu,..uzalendo peleka Iceland Hapo visasi tu.!!
Labda utakuwa sawa ukiwa Teja SeniorR.I.P YANGA
ALGERIA ila mleta mada amesema TUNISIAKwani Yanga alicheza na timu toka nchigani?
Mimi uzalendo wangu ni kwa Thomas ulimwengu lazima nishangilie mzawaKatika hili naiweka simba pembeni na kuikumbatia Yanga...
Uzalendo kwanza....Yanga kwanza.....Tanzania kwanza.....
Nendeeni mkafe leo
Bila kificho wala kujiumauma!! Hii ndio hali halisi ya ukosefu wa ajira Tanzania!!SWALI LA KIPIMAJOTO ITV. Je kujaa kwa uwanja wa Taifa siku ya Jumanne tangu saa moja asubuhi, Tatizo la ajira limeongezeka au mapenzi ya soka yameongezeka, au tabia ya kupenda bure imeongezeka?......Mimi nimejibu Sijui.....je wewe jibu lako
Iyo link mbona nimeambulia GMT tu alafu sioni pa kufunguliaHiyo link ndo ya uhakika kuliko yoyote ile.
Sawa,wao wanaombea ya kwao sisi tunaombea ya kwetu,Yanga mbele daima .