platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Kwani Manji hajawalipia na nauli??
"Alisema wakishinda anawalipia Mwendokasi"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Manji hajawalipia na nauli??
Ahaaaaaaaaaaaaaaaah , watalala taifaa
Nimempenda sana huyu kijana...Ulimwengu anajikosesha magoli kusudi kabisa
Matokeo please!!Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
Huko nako ni kipigo tuNext Madeama kwao Ghana
Anacheza kizalendo leoNimempenda sana huyu kijana...
Mungu ambariki.
Unaota au unaoteshwa!Yanga 3. T p Mazembe 1. Nina uhakika wa 100% yanga lazima ashinde. T.P. Mazembe baadhi ya wachezaji nimeongea nao wana mgomo baridi hawajalipwa mishahara baada ya bosi wao Katumbi kupata matatizo ya kisiasa Congo . hawana ari kabisa
"Alisema wakishinda anawalipia Mwendokasi"
Yaani matokeo ya Leo yamekuwajeYanga wamwisho kwenye kundi lao.