Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Hiyo mechi haina tofauti na ndondo cupMabadiliko ya ratiba kwa michezo yetu miwili ijayo ya NBC Premier League [emoji617][emoji1491] ili kupisha michuano ya AFL baadhi ya mechi zimesogezwa mbele.
View attachment 2786182
kaa kwa kutulia kijana kuna wazee humu, afu jiandae kumwona Wenger kwa mara ya kwanza na ya mwisho katika maisha yako. Pia kumbuka mwenye mpira wake hapa duniani Mr. Gianni Infantino - wewe ni nani ?Ni upumbavu ku ahirisha mechi za ligi za Yanga ili kuangalia Matamasha.
Hivi kweli soka la Yanga ikiwa inacheza utafananisha na ayo ma bonanza!!
Yanga haijacheza takriban wiki mbili Nchi imekua kama ina msiba.
Hivi tunawezaje kukaa siku zote hizo bila Yanga kucheza!!! TFF Mna hatarisha afya za Wananchi walio wengi kwamambo ya kipuuzi.
Hizi kejeli mkuu ila timu yetu ya waarabu itawakomeshaHiyo mechi haina tofauti na ndondo cup
DuuuuNi upumbavu ku ahirisha mechi za ligi za Yanga ili kuangalia Matamasha.
Hivi kweli soka la Yanga ikiwa inacheza utafananisha na ayo ma bonanza!!
Yanga haijacheza takriban wiki mbili Nchi imekua kama ina msiba.
Hivi tunawezaje kukaa siku zote hizo bila Yanga kucheza!!! TFF Mna hatarisha afya za Wananchi walio wengi kwamambo ya kipuuzi.
Jumapili jioni kuna mechi ya TP mazembe na inapigwa hapo kwa mkapaIlikuwa kuna tofauti ya siku mbili hapo mwanzo sasa sijui shida ilikuwa ni ipi wakati timu zinazocheza hazihusiani na hayo mashindano. Marefa na uwanja pia utakaotumika hausiani na hayo mashindano. Kulikuwa na sababu zipi za kusogeza mechi mbele?
Sasa nika mshangae Wenga au Infantino kwa lipi alilowahi kufanya katika ulimwengu wa soka !! Mtu ambaye hana medali ya ubingwa wa ulaya nishangae nini kwake?kaa kwa kutulia kijana kuna wazee humu, afu jiandae kumwona Wenger kwa mara ya kwanza na ya mwisho katika maisha yako. Pia kumbuka kwenye mpira wake duniani atakuwepo - wewe ni nani ?
Wahimize uto wenzio waje kujifunza pira linavyochezwa, ile siyo IHEFU 😀 😀
Mbona mechi huwa zinachezwa jumanne , jumatano au zenyewe sio siku za kaziKwanini mechi ichezwe Jumatatu siku ya kazi?
Hiyo ligi ya makolo haihusiki na Yanga.
Haituhusu.Tarehe 22 October 2023 wanacheza TP Mazembe and Esperance Sportive de Tunis Benjamin Mkapa Stadium baada ya uwanja wa TP mazembe wa Kongo kufungiwa kwa mechi hiyo.
Kwa timu za mikoani au timu ndogo.Mbona mechi huwa zinachezwa jumanne , jumatano au zenyewe sio siku za kazi