Mechi ya Yanga na Azam yasogezwa mbele kuipa nafasi michuano ya AFL

Mechi ya Yanga na Azam yasogezwa mbele kuipa nafasi michuano ya AFL

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Mabadiliko ya ratiba kwa michezo yetu miwili ijayo ya NBC Premier League [emoji617][emoji1491] ili kupisha michuano ya AFL baadhi ya mechi zimesogezwa mbele.
20231019_102931.jpg
 
Ni upumbavu ku ahirisha mechi za ligi za Yanga ili kuangalia Matamasha.

Hivi kweli soka la Yanga ikiwa inacheza utafananisha na ayo ma bonanza!!
Yanga haijacheza takriban wiki mbili Nchi imekua kama ina msiba.

Hivi tunawezaje kukaa siku zote hizo bila Yanga kucheza!!! TFF Mna hatarisha afya za Wananchi walio wengi kwamambo ya kipuuzi.

Kuisogeza mechi ya Yanga kwa nusu saa tu ni sawa kukata umeme siku nzima. Sasa wafidie tuwe tunacheza dk 150 maana raha za yanga hazina mfano.
 
Ni upumbavu ku ahirisha mechi za ligi za Yanga ili kuangalia Matamasha.

Hivi kweli soka la Yanga ikiwa inacheza utafananisha na ayo ma bonanza!!
Yanga haijacheza takriban wiki mbili Nchi imekua kama ina msiba.

Hivi tunawezaje kukaa siku zote hizo bila Yanga kucheza!!! TFF Mna hatarisha afya za Wananchi walio wengi kwamambo ya kipuuzi.
kaa kwa kutulia kijana kuna wazee humu, afu jiandae kumwona Wenger kwa mara ya kwanza na ya mwisho katika maisha yako. Pia kumbuka mwenye mpira wake hapa duniani Mr. Gianni Infantino - wewe ni nani ?

Wahimize uto wenzio waje kujifunza pira linavyochezwa, ile siyo IHEFU 😀 😀
 
Utopolo mkiambiwa AFL ni jambo kubwa mkubali tu..yaani NBC league inaonekana kama ndondo
 
Kwanini mechi ichezwe Jumatatu siku ya kazi?
Hiyo ligi ya makolo haihusiki na Yanga.
 
Ni upumbavu ku ahirisha mechi za ligi za Yanga ili kuangalia Matamasha.

Hivi kweli soka la Yanga ikiwa inacheza utafananisha na ayo ma bonanza!!
Yanga haijacheza takriban wiki mbili Nchi imekua kama ina msiba.

Hivi tunawezaje kukaa siku zote hizo bila Yanga kucheza!!! TFF Mna hatarisha afya za Wananchi walio wengi kwamambo ya kipuuzi.
Duuuu
 
Ilikuwa kuna tofauti ya siku mbili hapo mwanzo sasa sijui shida ilikuwa ni ipi wakati timu zinazocheza hazihusiani na hayo mashindano. Marefa na uwanja pia utakaotumika hausiani na hayo mashindano. Kulikuwa na sababu zipi za kusogeza mechi mbele?
Jumapili jioni kuna mechi ya TP mazembe na inapigwa hapo kwa mkapa
 
kaa kwa kutulia kijana kuna wazee humu, afu jiandae kumwona Wenger kwa mara ya kwanza na ya mwisho katika maisha yako. Pia kumbuka kwenye mpira wake duniani atakuwepo - wewe ni nani ?

Wahimize uto wenzio waje kujifunza pira linavyochezwa, ile siyo IHEFU 😀 😀
Sasa nika mshangae Wenga au Infantino kwa lipi alilowahi kufanya katika ulimwengu wa soka !! Mtu ambaye hana medali ya ubingwa wa ulaya nishangae nini kwake?
 
Yan gem za AFL znaendelea na afu na bonanza liwepo sku hyo hyo ,,,bonanza lisubl kwanza
 
Back
Top Bottom