Mechi ya Yanga na Belouizdad imeweka rekodi hizi

makhans

Member
Joined
Aug 26, 2013
Posts
57
Reaction score
92
Yanga imekua timu ya kwanza kufunga idadi ya goli 4 na Belouizdad kuwa timu ya kwanza kufungwa goli 4 katika hatua ya makundi kwa msimu huu katika CAF Champions league.

Hongera Yanga kwa rekodi hii. Kwa kifupi, hakuna timu iliyowahi kufunga goli nne katika mechi moja katika hatua ya makundi hadi Yanga ilipofanya hivyo dhidi ya waarabu.

Lakini, kwa upande wa Waarabu, imekua timu ya kwanza kwa kufungwa goli 4 katika hatua hii ya makundi ya finali ya klabu bingwa Afrika msimu huu.
 
Ni goli 4 kwa sufuri mkuu, rekodi lazima zisomeke vyema...
 
Back
Top Bottom