Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Wewe huna akili na ni hasara Kwa familia yako.GSM imewalipia mashabiki wa Yanga viingilio kwenye mechi ijayo na Mediama lakini getini uwe umevaa jezi original.
Huu ni ujuha na siyo msaada jezi kuwa ticket ya kuingia uwanjani,wote tunapenda kuangalia mpira,huwezi kupanga wote tuvae jezi za Yanga ndo tuingie uwanjani.
Na wala siyo bure,ina maana gani watu kulipiwa tickets wakati kiingilio uwe na jezi
Mechi ya Yanga na hamasa wanafanyiwa Wana Yanga wenye timu Yao wewe kinapwita nini?
Halafu GSM amenunuwa ticket za mzunguko tu wewe kama kidume kweli kanunuwe ticket za VIP uingie usituletee ushubwada hapa na gubu la kizaramo.